← Back to Q&AQuestion 116 of 128

Kivipi Allah anajisifu kwa sifa ya usamehevu na huruma mara nyingine kwa sifa ya makali wa kuadhibu?

Faith and belief
Reading tools
Text size
100%
LanguageAvailable in 15 languages
Detailed answerOriginal content preserved

Allah ni msamehevu sana na ni mwenye huruma sana kwa wenye waliofanya madhambi bila kuendelea kwa hukumu ya kibinadamu na udhaifu wake kisha akatubia wala hakusudii kumpima Muumbaji , lakini Allah anamuangamiza yule anayempima na anayepinga uwepo wa Allah au anayefanya Mungu sanamu au mnyama. Pia yule aliyezidi kufanya maasi kisha hakutubia na Allah hakutaka atubie kwake. Laiti mwanadamu angemtukana mnyama asingelaumiwa na yeyote,Ama akiwamtukana wazazi wake wawili atalaumiwa sana. Ni ipi hali yetu kwa haki ya muumba? Hatutaakiwi kuangalia udogo wa makosa tunatakiwa tumuangalie yule tunaye muasi.

واتسابPDF