تجاوز إلى المحتوى
Sehemu ya Historia ya Bwana Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:•16 / 32

Swali: 16- Ni nani wa kwanza aliyeuamini ujumbe wake?

Answer

Jawabu: katika wanaume: Ni Abuubakari swiddiq, na katika wanawake: Ni Khadija binti Khuwailidi, na katika watoto: ni Ally bin Abii Twalib, na katika waachwa huru: Ni Zaidi bin Haritha, na katika watumwa: Ni Bilali Muhabeshi Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao, na wengineo.

All questions in this topic