تجاوز إلى المحتوى
Sehemu ya Historia ya Bwana Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:•8 / 32

Swali: 8- Ni nani aliyemlea baada ya kifo cha babu yake Abdul Muttwalib?

Answer

Jawabu: Alifariki babu yake Abdul Muttwalib naye akiwa ni kijana wa umri wa miaka minane, na akalelewa na baba yake mdogo Abuu Twalib.

All questions in this topic