تجاوز إلى المحتوى
Sehemu ya Dua na Dhikri mbali mbali.•28 / 43

Swali: 28- Ni ipi dua ya msafiri kwa mkazi?

Answer

Jawabu: "Astaudiukumullaahu lladhii laa tadhwiiu wadaa iu'hu" Maana yake: Nakukabidhini kwa Mwenyezi Mungu ambaye hakipotei alichokitunza. Kaipokea Ahmadi na bin Maaja.

All questions in this topic