Kwa nini Nabii Muhammad alitekeleza hukumu ya zinaa wakati Masihi (Yesu) alimsamehe mzinifu?
Makubaliano ya wayahudi na wakristo, Uislamu katika kuweka ukali katika adhabu ya kosa la zinaa: Angano la kale:( Walawi: 20:10-18)
Questions about justice, rights, dealings, food, finance and conduct.
Makubaliano ya wayahudi na wakristo, Uislamu katika kuweka ukali katika adhabu ya kosa la zinaa: Angano la kale:( Walawi: 20:10-18)
Uislamu umelingania katika kusimamisha uadilifu kati ya watu na pia uadilifu katika vipimo vya ujazo na uzito
Na Mola wako Mlezi ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wal...
Mtume swala na salamu zimuendee amesema: Naapa kwa Allah hatoamini,naapa kwa Allah hatoamini, naapa kwa Allah hatoamini.Akaulizwa ni nani huyo ewe Mtume wa Allah: Ni yule ambaye hana aman...
Na hapana mnyama katika ardhi, wala ndege anaye ruka kwa mbawa zake mbili, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa. 38
Wala msifanye uharibifu katika nchi baada ya kuwa imekwisha tengenezwa. Na muombeni kwa kuogopa na kwa kutumai. Hakika rehema ya Mwenyzi Mungu iko karibu na wanao fanya mema.56
Uislamu unatufundisha kuwa wajibu za kijamii lazima yajengeke katika msingi wa mapenzi na upole na kuwaheshimu wengine.
Uislamu unahimiza kuwadhamini mayatima,na umehimiza kuwa aamiliwe yatima kama kama anavyoamiliana na mwanaye.Lakini haki ya yatima itabaki ili awajue ndugu zake wa damu. Ili haki yake itu...
Nyama ni chanzo cha protini, na binadamu ana meno ya magego na meno chonge kwa ajili ya kuchanga na kuchana nyama. Allah amemuumbia mwanadamu meno mazuri ya kulia mimea na nyama, na akawa...
Njia ya uchinjaji katika uislamu ya kukata shingo ya mnyama kwa kisu kikali ni huruma mno kuliko njia ya kupiga shoti na kunyongwa ambayo huadhibiwa nayo mnyama, kule kukatika kwa kuruka...
Kuna tofauti kubwa kati ya roho ya mnyama na roho ya mwanadamu. Roho ya mnyama ni ile nguvu ya kutikisa mwili, roho ikitengana na mwili kwa kifo anakuwa mzoga usio sogea, hiyo ni aina ya...
Hakika miongoni mwa huruma za Allah na upole wake ni kuturuhusu kula vizuri na kutukataza kubwa vichafu.
Maana ya mali katika uislamu ni biashara na kubadilishana bidhaa na wahudumu na katika kujenga na kuimarisha , na pale ambapo tutatumia mali kwa lengo la kuchuma sisi tutakuwa tumetumia m...
Allah amemtofautisha mtu na mnyama kwa akili.Allah ametukataza lile linalotudhuru na linalodhuru akili na miili yetu kwa hiyo ametukataza kila chenye kulewesha ,kwa sababu kina funika aki...