Kwa nini Mwislamu haozeshi binti yake kwa Myahudi au Mkristo?
Mume wa Kiislamu anaheshimu asili ya dini ya mke wake Mkristo au Myahudi, kitabu chake, na Mtume wake Bali imani yake haipatikani bila hayo, na anampa uhuru wa kutekeleza ibada zake. Mkri...