Ni zipi nguzo za uislamu ambazo amekuja nazo Mtume Muhammad?
Shahada na kukiri upweke wa muumbaji na kumwabudu yeye pekee yake, na kukiri kuwa Muhammad ni mja wake na ni mtume wake.
Questions in the guide related to the pillars of Islam, prayer, Hajj and worship.
Shahada na kukiri upweke wa muumbaji na kumwabudu yeye pekee yake, na kukiri kuwa Muhammad ni mja wake na ni mtume wake.
Muislamu anaswali kwa mtii mola wake aliemuamrisha kuswali, ameifanya hiyo swala ni nguzo katika nguzo za uislamu.
Muislamu anafuata mafundisho ya Mtume Muhammad Swala na salamu zimuendee na huswali kama alivyoswali Mtume kwa ukamilifu.
Allah ameifanya Alkaba kuwa ni nyumba tukufu , nyumba ya kwanza ya ibada na nembo ya umoja wa waumini, pale ambapo wanaelekea waislamu wote wakiswali kutoka katika sehemu tofauti ya ardhi...
Alkaaba imetajwa sana katika historia na watu huitembelea kila mwaka kutoka sehemu za mbali na nchi za kiarabu na wanaheshimu utukufu wake mataifa yote ya kiarabu. Katika Angano la kale p...
Kuna tofauti kubwa kati ya dini za waabudu masanamu na kutukuza sehemu na ibada fulani sawa sawa iwe ya kidini au kitaifa au kijamii.
Je kwa mfano tutamtia aibu mtu anayebusu bahasha ambayo ndani yake kuna barua kutoka kwa baba yake?. Ibada zote za hijja ni kusimamisha kutajwa kwa Allah. Na kujulisha kumtii na kujinyeny...
Vifo vilivyotokea wakati wa Hijja haijatokea ila kwa miaka kadha tu. Lililozoeleka ni kuwa wanaofariki kwa sababu ya msongamano ni wachache. Lakini mfano wanaofariki kwa sababu ya pombe n...