← Back to Q&AQuestion 58 of 128

Hakuna kulazimishana katika dini, basi kwa nini Mungu anasema piganeni na wale wasiomwamini Mungu?

Prophethood and seerah
Reading tools
Text size
100%
LanguageAvailable in 15 languages
Detailed answerOriginal content preserved

Aya ya kwanza:"Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu...." [154] Kanuni kuu ya Kiislamu iliamuliwa, ambayo ni katazo la kulazimishwa katika dini. Wakati aya ya pili ""Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho..."(155)Mada yake ni makhsusi, inayohusiana na wale wanaozuilia njia ya Mwenyezi Mungu, na wanaowazuia wengine kuukubali wito wa Uislamu, kwa hiyo hakuna mgongano wa kweli baina ya Aya hizo mbili. (Al-Baqarah: 256). (Al-Tawbah: 29).

واتسابPDF