Mtume Muhammad ni nani, na ni upi ushahidi wa ukweli wa ujumbe wake?
Mtume Muhammad Rehema na Amani zimshukie ni: Muhammad bin Abdullah bin Abdul Muttalib bin Hashim, kutoka katika kabila la Waarabu la Quraish, lililokuwa likiishi Makka, naye ni kizazi cha...