Skip to content
Text size 100%
Kiswahili · Surah 101

Al-Qari'ah — Swahili Translation

The Calamity · 11 verses · Ali Muhsin Al-Barwani.

This page pairs the Arabic Quran with the attributed Swahili translation of its meanings. Compare the wording with another published edition, or jump directly to an ayah.

Al-Qari'ah · Al-BarwaniVerse 1 of 11
Reading view
Jump within Surah Al-Qari'ah (11 verses)

Use the verse-number field below to open any other verse.

Jump to verse
Search translation

Search the locally cached translation.

Verses of Al-Qari'ah

1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ٱلْقَارِعَةُ

Inayo gonga!

2

مَا ٱلْقَارِعَةُ

Nini Inayo gonga?

3

وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا ٱلْقَارِعَةُ

Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga?

4

يَوْمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلْفَرَاشِ ٱلْمَبْثُوثِ

Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika;

5

وَتَكُونُ ٱلْجِبَالُ كَٱلْعِهْنِ ٱلْمَنفُوشِ

Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!

6

فَأَمَّا مَن ثَقُلَتْ مَوَٰزِينُهُۥ

Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,

7

فَهُوَ فِى عِيشَةٍۢ رَّاضِيَةٍۢ

Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.

8

وَأَمَّا مَنْ خَفَّتْ مَوَٰزِينُهُۥ

Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,

9

فَأُمُّهُۥ هَاوِيَةٌۭ

Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!

10

وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا هِيَهْ

Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo?

11

نَارٌ حَامِيَةٌۢ

Ni Moto mkali!

Al-Qari'ah in other Swahili translations

Al-Qari'ah in other languages

Explore the same chapter in an existing published translation of another language. Each edition has its own source and wording.

Translation source and attribution. Source: AlQuran Cloud. Translation text is shown without rewriting.
Quran recitationReady
Open audio