Skip to content
Text size 100%
Kiswahili · Surah 99

Az-Zalzalah — Swahili Translation

The Earthquake · 8 verses · Swahili Translation - Rowad Translation Center.

Az-Zalzalah · Swahili Translation - Rowad Translation CenterVerse 1 of 8
Jump to verse
Search translation

Search the locally cached translation.

Verses of Az-Zalzalah

1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ إِذَا زُلْزِلَتِ ٱلْأَرْضُ زِلْزَالَهَا

Itakapotetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake!

2

وَأَخْرَجَتِ ٱلْأَرْضُ أَثْقَالَهَا

Na itakapotoa ardhi mizigo yake!

3

وَقَالَ ٱلْإِنسَٰنُ مَا لَهَا

Na mtu akasema: "Ina nini?"

4

يَوْمَئِذٍۢ تُحَدِّثُ أَخْبَارَهَا

Siku hiyo itahadithia habari zake.

5

بِأَنَّ رَبَّكَ أَوْحَىٰ لَهَا

Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!

6

يَوْمَئِذٍۢ يَصْدُرُ ٱلنَّاسُ أَشْتَاتًۭا لِّيُرَوْا۟ أَعْمَٰلَهُمْ

Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao!

7

فَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًۭا يَرَهُۥ

Basi anayetenda chembe ya wema, atauona!

8

وَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍۢ شَرًّۭا يَرَهُۥ

Na anayetenda chembe ya uovu, atauona!

Az-Zalzalah in other Swahili translations

Source: QuranEnc.com · Version 1.0.5. Translation text is shown without rewriting.
Quran recitationReady
Open audio