تجاوز إلى المحتوى
Sehemu ya Historia ya Bwana Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:•30 / 32

Swali: 30- Ni wapi watoto wake Rehema na Amani ziwe juu yake?

Answer

Jawabu: Katika watoto wa kiume ni watatu:

Qassim, na kwa mtoto huyu alikuwa akiitwa.

Na Abdallah.

Na Ibrahim.

Na katika watoto wa kike:

Fatma.

Rukaiyya.

Ummu Kulthum.

Zainab.

Na watoto wake wote hao walizaliwa na Khadija Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, isipokuwa Ibrahim, na wote walifariki kabla yake isipokuwa Fatma alifariki baada yake kwa miezi sita.

All questions in this topic