تجاوز إلى المحتوى
Sehemu ya Historia ya Bwana Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:•31 / 32

Swali: 31- Taja baadhi ya sifa za Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake za kimaumbile?.

Answer

Jawabu: Alikuwa Rehema na Amani ziwe juu yake ni wa kati na kati baina ya wanaume, si mfupi wala si mrefu bali alikuwa kati na kati, na alikuwa mweupe aliyechanganyikana na wekundu Rehema na Amani ziwe juu yake, na alikuwa na ndevu nyingi, mwenye macho mapana, mwenye mdomo mzito, na nywele zake zilikuwa nyeusi sana, mwenye mabega mazito, mwenye harufu nzuri, na zinginezo miongoni mwa sifa zake nzuri Rehema na Amani ziwe juu yake.

All questions in this topic